Deuteronomy 18:16

16 aKwa kuwa hivi ndivyo mlivyomwomba Bwana Mwenyezi Mungu wenu kule Horebu siku ile ya kusanyiko, wakati mliposema, “Na tusiisikie sauti ya Bwana Mwenyezi Mungu wetu, wala kuuona moto huu mkubwa tena, ama sivyo tutakufa.”

Copyright information for SwhKC